Serikali yabaini fedha za wanyonge kuishia mikononi mwa wabadhirifu

WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amesikitishwa na matumizi maabaya ya fedha za mapato ya ndani yanayokusanywa kwa wanyonge kushindwa kutekeleza miradi ya maendeleo, badala yake kupelekwa wenye miradi mikubwa ambayo imetengewa fedha za serikali.

Matumizi hayo mabaya yametokana na watumishi wa wawili wa Mji Masasi  ambao walishiriki kufuja fedha za mradi wa jengo la utawala zaidi ya milioni 1.8 ambazo zililetwa na serikali kutumiwa hali ambayo inmepelekea watumisihi hao kuchukuliwa na  kamanda wa taasisi ya
kupambana na rushwa (PCCB)kwa mahojiano.

Mahojiano hayo yatamuhusisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Fortunatus Kagoro ili aweze kutolea majibu fedha hizo.

Alisema kuwa fedha hizo zinazotolewa katika miradi maalumu zinapaswa kutumika ipasavyo kwa kuisimamia kodi ya watanzania ili irudi katikamaendeleo.

“Haya ndio mambo ambayo hatuvumilii Kamanda PCCB muite  aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri fortunatus kagoro atwambie mtiririko wa fedha hizo ziko wapi na hatumishi hao wakiwa nje ya kazi kisha nipewe matokeo yake na maelezo yao yaishawishi serikali na fedha za mapato ya
ndani zisitolewe tena fedha za serikali zitumike kwa makusudio yaliyowekwa wakurugeniz wanapotakiwa kuchukua hatua chukueni haraka…

“kwakweli Halmashauri ya mji hamjafanya vizuri katika ujenzi wa jengo lililotakiwa kujengwa mwaka 2014  ambapo serikali ilitoa shilingi milioni 575 huku eneo ambalo lilitayarishwa kwa ujenzi liki na lilipitishwa likiishia kujengwa uzio kwa zaidi ya milioni 110  na kuachwa katika hali ya kushangaza mmehamisha eneo hilo na kujenga katiaka eneo jingine jipya ambalo pia bado ujenzi unasuasua……

 “Mbali na kuweka uzio halmashauri ilibadilisha matumizi ya eneo hilo bila kujali hasara ambayo serikali imeingia ambapo katika eneo jipya tayari wameshaanza ujenzi wa ofisi hiyo huku fedha hizo zikitumiwa isivyotakiwa” alisema Majaliwa

Comments

Popular posts from this blog

Wananchi wajenga wodi baada ya kuchoshwa na kujifungulia sakafuni

Sita wapotea katika mazingira tatanishi wilayani Wete

Jaji Mkuu Zanzibar awashukia mahakimu wanaonyanyasa watuhumiwa